VIONGOZI WA KUU WA IVST TAIFA
IVST Sunday, 5 April 2026
Reg No : S.A. 24310 PHONE : +255615866660 EMAIL. : ivstaifa@gmail.com LOCATION: Mwanza Tanzana HQ
Itifaki ya Vijana kwa Mikutano na Sherehe Tanzania (IVST) ni jumuiya ya kitaifa iliyosajiliwa chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani (Usajili Na. S.A. 24310). Lengo kuu ni kukuza maadili, nidhamu na taaluma ya itifaki miongoni mwa vijana nchini.
IVST inawaandaa vijana kuwa wataalamu wa itifaki (Protocol Officers), wenye uwezo wa kushiriki katika maandalizi na uendeshaji wa mikutano, sherehe na matukio ya kitaifa kwa weledi na heshima.
Kuwa na taifa lenye vijana wenye maadili, uzalendo na nidhamu.
Kuwaandaa vijana katika maadili, uongozi na ushirikiano na taasisi za serikali, binafsi na dini kwa kuzingatia utamaduni wa Kitanzania.
“IVST KWA AJILI YAKO”
Karibu ujiunge nasi — chagua mkoa wako hapa chini 👇
IVST Sunday, 5 April 2026 0
IVST Tuesday, 31 March 2026 0
IVST Wednesday, 28 January 2026 0
IVST Tuesday, 13 January 2026 0
IVST 0
IVST 0
Designed by IVST TANZANIA +255615866660